Msaada kuhusu TIN

Msaada kuhusu TIN

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,143
Reaction score
2,547
Habari Wadau wa JF!
Kama nilivyotangulia kuandika hapo juu, naomba kujua kama kuna namna naweza kupata namba yangu ya mlipa kodi.

Ni muda mrefu sikuitumia maana sikuwa na matumizi nayo, nilitafuta kwa ajili ya kupata leseni ya udereva.

Kwa ujumla namba yangu siikumbuki, naomba kujua kama naweza kuipata online au ni lazima niende kwenye ofisi za TRA.

Ahsante kwa msaada wenu.
 
TIN haitolewi mara mbili. Ni moja Tu, unachotakiwa kufanya ni kuenda TRA Ofisi yeyote iliyokaribu nawe utajaza form itapitkshwa arafu watakupatia namba yako
 
Nashukuru sana wadau, nimefanikiwa kuipata online kwenye website ya TRA.
TIN haitolewi mara mbili. Ni moja Tu, unachotakiwa kufanya ni kuenda TRA Ofisi yeyote iliyokaribu nawe utajaza form itapitkshwa arafu watakupatia namba yako
 
Habari Wadau wa JF!
Kama nilivyotangulia kuandika hapo juu, naomba kujua kama kuna namna naweza kupata namba yangu ya mlipa kodi.

Ni muda mrefu sikuitumia maana sikuwa na matumizi nayo, nilitafuta kwa ajili ya kupata leseni ya udereva.

Kwa ujumla namba yangu siikumbuki, naomba kujua kama naweza kuipata online au ni lazima niende kwenye ofisi za TRA.

Ahsante kwa msaada wenu.
0800 750 075- Call Center (Toll free)
0800 780 078 - Call Center (Toll free)
0800 110 016 - Call Center (Toll Free)
0689 122 516 - Intergrity Complaints
0744 233 333 - WhatsApp
services@tra.go.tz
 
Back
Top Bottom