je umejaribu kuweka sim card nyingine?Naomba kuelekezwa namna ya setting ya cm yangu TECNO P6 ambayo huwa ina load previous sms nilizokwisha delete kwenye inbox, wakati setting yake ya ku load previous sms iko off.
Jaribu mitandao huwa ina sababisha piaBado cjajaribu.