Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,495
Asante sana Yahya Asaa kwa kuandika. Tatizo langu nimesha tatua baada ya kupitia web kadhaa. Storage ya application ni tofauti na storage ya files unazo- download, bluetooth,etc. Hayo nilijifunza wakati nahangaikia hili tatizo. Mimi ilikuwa inasumbua kusave files nilizo download. Granta jaribu hii njia kama unatumia android. Nili-download SD Maid, nika-install kwenye simu yangu. SD Maid ina features tofauti tofauti. Mojawapo ni Systemcleaner. Uki-run system cleaner tatizo tupa kule.

Inaleta ero gani ?
Nataka kujua kama hilo tatizo ni kwa update pekee, ama pia unapo install app mpya? Unatumia Mobogenie?Inaanza kama kawaida ku-update kwa ku-download ikimaliza inaanza ku-install hapo ndio ita-install hadi kesho...
Na kuna wakati inaandika unknown error code during application install "961"
Nataka kujua kama hilo tatizo ni kwa update pekee, ama pia unapo install app mpya? Unatumia Mobogenie?
Asante sana Yahya Asaa kwa kuandika. Tatizo langu nimesha tatua baada ya kupitia web kadhaa. Storage ya application ni tofauti na storage ya files unazo- download, bluetooth,etc. Hayo nilijifunza wakati nahangaikia hili tatizo. Mimi ilikuwa inasumbua kusave files nilizo download. Granta jaribu hii njia kama unatumia android. Nili-download SD Maid, nika-install kwenye simu yangu. SD Maid ina features tofauti tofauti. Mojawapo ni Systemcleaner. Uki-run system cleaner tatizo tupa kule.
Unatumia simu yenye OS gani? Kama ni Android, jaribu kutumia SD Maid. Then jaribu ku-run features kadhaa kama 'systemcleaner', 'corpesefinder' na nyingine utakazoona zitakusaidia. Halafu jaribu kutumia Mobogenie.Lilianza kwa update pekee limeendelea hadi kwa app mpya, na kuna wakati licha ya internal memory haijafika hata nusu lkn wananipa alert kuwa imejaa...
Situmii mobogenie
dah yaan inanikera sana sijui niiuze bei ya gunia la mkaa!!!?tatizo ni tecno mkuu