Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
habari wadau,
nnataka kustream tukio kutoka kwenye kompyuta yangu kupitia ustream.
nimeweza kustream kwa webcam ila sitatumia webcam, nnachotaka ni kama kustream kipindi cha tv live.
nime google weee mpaka nimechoka, mwenye utaalamu wa kustream hizi vitu