OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,162
- 103,603
Wakuu naombeni msaada wa Fee Structure ya UDSM undergraduate.Kuna mambo kadhaa ningependa kujua kwa bahati mbaya siyaoni kwenye website yao. Labda kama kuna mtu ana prospectus ya 2016/17
- Direct Cost ni kiasi gani
- Hostel ni kiasi gani
- Je, utaratibu wa kulipa ada ukoje, kama wanafanya registration next week na list ya HESLB haijatoka?Mwanafunzi wangu ana Two ya 10 PCM na amepata Engineering ambayo ni priority kwenye mkopo.