prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 77
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mna ubongo gani jamani hivi tecno ni simu kweli
Acha kupenda midume utaombwa jicho mkuu nakushauri tuAcha dharau.
[emoji23] [emoji23] pole hujui dharauAcha dharau.
waambie asee www.gsmarena.com km watakutana nayoSim inayoutwa Tecno hata ukienda GSM Arena huwezi ikuta hawaitambui kabisa.
Wewe huko gsm arena upo?au na ww feki?SHUBAMIIIIIIITTTTT!!!!Sim inayoutwa Tecno hata ukienda GSM Arena huwezi ikuta hawaitambui kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf kiboko aseeeWewe huko gsm arena upo?au na ww feki?SHUBAMIIIIIIITTTTT!!!!
Ni ngumu kukusaidia kwa maelezo yako haya, sabu hayaeleweki kabisa! Em rekebisha ili watu iwe rahisi kuelewa ndio wakusaidie tatizo lako....Habari za muda huu wakubwa mimi namiliki tecno spark k7. Sasa juzi tu nashangaa simu imebadili mfumo ile line ya notification haiji mpaka ujumbe wa WhatsApp uingie ambapo ni tofauti na awali je niende sehemu gani katika mpangilio wa simu nidhibiti hilo maana nishapigika na kujaribu kuirudisha lakini sikufanikiwa.