msaada kuhusu sony vegas

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
habari wadau
naomba msaada wenu wa kitaalamu kuhusu namna ya kuinstall sony vegas.Nimejaribu mara kadhaa kuinstall lakini nimekuwa nikikwama mara zote,pale inapodai serial number,nimejaribu namna zote kuingiza lakini zinadai sio sahihi.Nimejaribu sony vegas 9 na 10 pro zote nimekwama.
kwa anayejua namna ya kufanya ili ifanye kazi au link ya kuipata sony vegas ambayo ni rahisi kukubali kuinstall.
Asanteni sana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom