Msaada kuhusu soko na bei za Natural Diamond kwa gram

Msaada kuhusu soko na bei za Natural Diamond kwa gram

Diamond201911

New Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Naombeni msaada kujua bei ya Natural Diamond kwa gram na kuhusu soko lake.

Naombeni msaada wenu.
 
Hayo mawe ya vito hupimwa kwa carat.
Carat 1 ya alimasi huuzwa kati ya $4,500 - $6,000 kwa mujibu wa soko la dunia la mwaka huu wa 2019.
 
Hayo mawe ya vito hupimwa kwa carat.
Carat 1 ya alimasi huuzwa kati ya $4,500 - $6,000 kwa mujibu wa soko la dunia la mwaka huu wa 2019.
Asante sana ,niliuliza maana jiwe bado ninalo mkononi lina gram 70. Bado sijalifanyia solo.
 
Asante sana ,niliuliza maana jiwe bado ninalo mkononi lina gram 70. Bado sijalifanyia solo.
Wewe ni milionea hapo ulipo.
1 gram = 5 carat.
Tuseme umeuza bei ya chini inakuwa
(4500 × 5 × 70 = 1,575,000/= )USD.
 
Back
Top Bottom