Jamani nimei-download hii software ya private VPN na inaniamabia mtandao wangu uko private cha ajabu nimeshindwa kusain in kwenya my yahoo email mpaka nilipoi-offline.
Naomba ufahamu zaidi kuhusu hii software, faida na hasara zake kwa anayejua plz.
ndugu yangu asante sana kwa maelezo yako, ile yangu nafikiri ilikuwa ya sweden na nilijua hilo baada ya kushindwa kusign in kwenye email yangu ya yahoo. kila nikisain wananiletea maswali nijibu ambayo mimi mwenyewe nilikwisha yasahau tangu zama hizo hivyo ikabidi niioffline ndio nikaweza kusain in. ila nilikuta msg kutoka yahoo kuwa someone was trying to sign in in my account by using VPN from sweden is it you? nikajua ndio sababu.
ila ndugu yangu hizo nzuri ni zipi kama wazijua msaada tafadhali ile ya mwanzo ilibidin nii uninstall.
vpn nyingi ni za kununua hizi ni baadhi ambazo ni za bure.
Pdproxy- watakupa mb100 kwa siku kama mtumiaji wa bure na utaweza tumia server 2 za marekani za demo-server
security kiss- wana server nyingi zaidi wao wanatoa mb300 kwa siku kwa mtumiaji wa kawaida.
Hotspot na expat shield vpn. Hawa nao ni bure na ni unlimited wana server za kumwaga ila weakness yao wanaeka matangazo mengi hadi kubrowse inakua shida.