Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
Ok inaweza kuathiri chochote maana kweli nimeangalia time wamezilunch ni muda Sana na Bei zake ndio izo izo kasoro ni iyo Nova 3i 290k wanauza japo nimecheki gsm arena watu baadhi wame ongelea betri Nova 3i Sasa Sina uhakika labda matumiz

hutapata updates na kama ni used pengine zimechoka mkuu, hio 3i si mbaya mkuu kwa mishe mishe za kawaida itafanya. na battery ndio ni dogo hasa kwa simu ya 6.3 inches.

Bado unatumia tecno ulimwengu huu..ztafuta sm mkuu hata ka oppo, Huawei, Samsung kale ka bei chin hizo tecno mtaan zmeaza kuadmika kabsa watu Ordinary wapo infix