Africa2030
New Member
- Nov 11, 2021
- 1
- 0
Habari wana jamii,kuna utaratibu wanaufanya hawa jamaa wenye hii shule wanapokea wanafunzi vizuri tena kwa interview na wanachagua watoto ambao wapo vizuri kichwani,tatizo linakuja form one na form two wataenda nao vizuri tu na watoto watapiga one za kutosha tu,itakapofika form three shughuli inaanza watapunguza wanafunzi wote hata wakiwa 80 basi watabakisha wanafunzi 20 tu ndio watakaoenda nao form 4,waliowaondoa vigezo eti hawajafikia level wanayotaka wao sasa hii imekuwa utaratibu wao miaka sasa lkn kumuona mkuu wa shule ni tatizo haonani na wazazi mpaka aamue yeye,hakuna kuonana na watoto mpaka aamue yeye,sasa swali langu je ni haki kumfukuza mtoto kisa kitaaluma ameshuka tena form three?