Msaada kuhusu shule ya secondary kimamba iliyopo kilosa morogoro

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
628
1,000
Habari za majukumu wana jf??
Rejea kichwa cha Habari hapo juu

Nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye taarifa kuhusu hii shule anijuze...
Maana kuna ndugu yangu kapangwa hapo na alitamani sana kupata taarifa za shule yake hiyo na ntafurahi zaidi kama ntampata mwanafunz wa shule hiyo..
Nawasilisha..

Pia mnakaribishwa pia mnakaribishwa pm
Ahsanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom