Buyagakibunje
Member
- Nov 17, 2016
- 9
- 4
Samahani wadau nimeapply nursing, kwenye profile yangu inasema napaswa nisubiri next selection... coming soon. Wakati huohuo nacte imetangaza kufunga rasimi udahili. Msaada jamani nifanyeje
Mwakani mwezi wa kwanza au coz hata mie ninatatzo hiloitakuwa mpaka mwakani nadhani
Ph E kis D eng D math E Bio C Che C civ e his e geo eWeka ufaulu wako hapa tuone kama unasifa za kwenda nursing