Habari zenu wadau mimi naomba msaada wenu wa kiufundi jaman simu yangu niliweka screen protector ila kwa sasa imekwaruzika nlikua nauliza jaman kama naweza kuitoa na kuweka nyingine msaada tafadhal
inawezekana mkuu.mimi mwenyewe nilinunua screen protector kwa ajili ya simu yangu lakini nimegundua ni nyembamba mno nina mpango wa kuitoa niweke nyingine bora zaidi
Asante je naweza kuitoa mwenyewe au mpaka ufundi