Msaada kuhusu SAUT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu SAUT

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zuia Sayayi, Sep 20, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jmn naomben msaada kuhusu hk chuo cha SAUT mwanza, ni kwamba mm nimechaguliwa pale SAUT,
  na hapa nilipo cna pa kuanzia, niko wilaya ya magu mwanza na nimejpanga kesho kwenda chuon ili nikapate mwanga, kama kuna m2 anajua utaratibu naomba anifumbue macho
  je nifanyeje?
  Na je masomo yataanza lin? Labda naweza kuwa nimechelewa?
   
Loading...