Msaada kuhusu Samsung Galaxy na nyingine.

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
62,526
Reaction score
76,459
Heshima mbele wakuu. Naomba kujulishwa kuhusu samsung galaxy kama inatumia dual simcard? Lakini pia aina nzuri ya samsung dual simcard ambayo pia ina weza kuwa nzuri ktk kufungua huduma za Internet bila shida. Tafadhali mwenye utaalamu anijuze,natanguliza shukrani tele kwenu vyote.
 
samsung galaxy ipi ..au unamaanisha galaxy tab? please be specific...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…