goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,021
- 1,268
Hapana mkuu, nishauri kwa hizo aina mbili nilizosuggest lakini sio techno maana najua shida zakeKizazi cha techno ni kibaya sana.
Ila kwa iyo budget yako utapata simu bomba kabisa ya TECNO
Hiyo samsung galaxy A2 core ni tecno iliyochangamka na ni simu ya hovyo sanaHapana mkuu, nishauri kwa hizo aina mbili nilizosuggest lakini sio techno maana najua shida zake
Tecno iliyochangamka hadi program zake kama za tecno tu hamna jipya hapo samsung wamechemka kumuuzia jina mhindiSimu yenyewe hii hapa onaView attachment 1227912
Mkuu hawajachemka simu hizi zina ubora wake naomba ulimiani hili ninalokwambia , samsung atabakia kuwa samsung , na tecno atabakia kuwa tecno , mie nimemiliki samsung b4 kuhamia OPPO samsung ni nzuri sana ila zina matatizo yake , mie nimemiliki J5 PRIME nilienjoy nayo sana , nikaja kubadili na kumiliki Oppo , asee samsung akasome hii simu nimenunua used kwa mtu lakini mpaka cha leo nateleza nayo , haijawahi kuniletea ttz lolote mpk cha leo , nimetimiza mwaka nayo .Tecno iliyochangamka hadi program zake kama za tecno tu hamna jipya hapo samsung wamechemka kumuuzia jina mhindi
Oppo Gani?Mkuu hawajachemka simu hizi zina ubora wake naomba ulimiani hili ninalokwambia , samsung atabakia kuwa samsung , na tecno atabakia kuwa tecno , mie nimemiliki samsung b4 kuhamia OPPO samsung ni nzuri sana ila zina matatizo yake , mie nimemiliki J5 PRIME nilienjoy nayo sana , nikaja kubadili na kumiliki Oppo , asee samsung akasome hii simu nimenunua used kwa mtu lakini mpaka cha leo nateleza nayo , haijawahi kuniletea ttz lolote mpk cha leo , nimetimiza mwaka nayo .
Nina Oppo a3s single line made in india .Oppo Gani?
Hapana mkuu, nishauri kwa hizo aina mbili nilizosuggest lakini sio techno maana najua shida zake
Mkuu eb elezea japo kidogo uhovyo wake, na vp kuhusu bei ya A10 kwa anaefahamu na ukaaji wake na chaji
Hiyo samsung A2 core ni ya hovyo sio samsung zingine hata mm matumia sana samsung ila hiyo A2 core niMkuu hawajachemka simu hizi zina ubora wake naomba ulimiani hili ninalokwambia , samsung atabakia kuwa samsung , na tecno atabakia kuwa tecno , mie nimemiliki samsung b4 kuhamia OPPO samsung ni nzuri sana ila zina matatizo yake , mie nimemiliki J5 PRIME nilienjoy nayo sana , nikaja kubadili na kumiliki Oppo , asee samsung akasome hii simu nimenunua used kwa mtu lakini mpaka cha leo nateleza nayo , haijawahi kuniletea ttz lolote mpk cha leo , nimetimiza mwaka nayo .