msaada kuhusu Root na ROM kwenye android | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuhusu Root na ROM kwenye android

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by UncleUber, Jul 1, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu kujua kuhusu hivyo vitu sijapata jibu sahihi google. Kwa ajuaye anielekeze coz nataka ku upgrade manually my android phone to icecream sandwich...
  Wabeja
   
 2. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  NIAJE MDAU!
  ROM(READ ONLY MEMORY) ni chip ambayo ipo kwenye simu yako kwa ajili ya kuifadhi software/firmware kwa android na apps etc ambavyo havibadilishiki, i.e game kwa mazingira ya kawaida,
  Custom ROMs ni ile ambayo mtumiaji ataiandaa ama kubadilisha iliyopo kutokana na matwaka yake,yaani ametoa iliyokuwepo akaimodify kwa process ambayo ndio ROOTING(same as Jailbraking kwa iOS for Apple ie iPad ... ama hacking kwa Windows) na kuiweka tena kwenye simu,

  Sasa basi ROOT ni mchakato(process) ya kuweza kupata uwezo wa vile ambavyo havipatikani wala kuonekana kwa mtumiaji wakawaida hasa hasa upande wa OPERATING SYSTEM na HARDWARE!,(mostly on booting(boot-loader)) ama CMOS kwa pc)

  Ku upgrdade manual fanya yafuatayo
  1.Download SuperoneClick na i save
  2.Unganisha cm yako kwenye pc husika na hakikisha ipo kwenye USB debugging mode off pia unmount Storage na hakikisha pia simu ina 25MB ama zaidi
  3.install the software above
  4.click on rooting buttom scroll on activity log and check all log ok and ignore all warnings,
  5.itachukua muda kidogo ikimaliz zima cm yako wash tena,now you device is free,u can do anything you want.


  To install the said firmware

  Step 1: Download the official ice cream sandwitch
  firmware and download ODIN,Extract the LPQ firmware zip file
  inside a new folder on your desktop.
  Step 2: Switch off your Galaxy S2 and re-
  insert its battery. Now boot your Galaxy S2
  in Download mode by pressing the Volume
  Down + Home + Power button
  simultaneously. Your phone will then show
  you a warning. Simply skip the warning by
  pressing the Volume Up button.
  Step 3: Start ODIN, and then connect
  your Galaxy S II to your PC. ODIN will
  then detect your phone, and display a
  random COM:ID number inside a glowing
  rectangle box. Click on the ‘PDA’ button,
  and select the ‘I9100XXLPQ_I9100OXALPQ_
  I9100XXLPQ_HOME.tar.md5’ file. It is the
  only file inside the zip file that you
  downloaded in Step 1 above.
  Step 4: Do not touch any other option.
  Simply press the Start button and wait for
  ODIN to flash the firmware.
  The firmware is pretty big (500+MB
  extracted), and so ODIN will take some
  time to flash it. The first boot after the
  flash will also take considerable time. It
  took nearly 10minutes for my Galaxy S II
  to start after I flashed the firmware.
  Update: Added some mirrors for the
  firmware download link. For root access,
  download and flash Siyah Kernel LPQ and
  flash via ODIN.
  Update 2: If your phone is stuck at the S
  boot logo for more than 15 mins, re-insert
  the battery and re-do the steps mentioned
  above.
   
 3. Jamiix

  Jamiix JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  For samsung user!,kama ni tofauti nipe aina ya cm yako na firmware iliyopo nikueleweshe vizuri
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwanza kuhusu ku Root Download app inayo itwa Z4 Root hii ita root simu yako kwa click chache tu.
  BAADA YA KUDOWNLOAD Z4 ROOT, IFUNGUE NA BOFYA SEHEMU YA ROOT KISHA REBOOT SIMU YAKO. ikiwaka angalia app list kama ukiona kuna app imeongezeka inayoitwa SUPER USER hapo tayari utakua ume root simu yako.

  Sasa tukija kuhusu kubadilisha ROM kuna njia mbili
  1. Kwa kutumia computer
  2. kwa kutumia simu pekee.
  Binafsi nafahamu njia ya simu pekee.
  Root simu yako then leta feedback tuendelee na darasa.
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  htc user
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Z4 ROOT haifanyi kazi katika honeycomb ... mimi nina tablet yangu ni android ina run honeycomb 3.2.1 nimejaribu Z4ROOT inakataa!..

  kuna baadhi ya android devices lazima utumie computer
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ingia kwa hawa jamaa wa XDA kuna watu hawashindwi na kitu mule ... utapata kila kitu! utauliza swali utajibiwa step by step

  Android Forums & Windows Phone Discussion @ xda-developers
   
Loading...