Msaada kuhusu probation



kisheria ni miezi mitatu,baada ya hapo kuna mambo yafuatayo yanaweza kufuata
1. kuajiriwa
2. kusaini kazi ya mkataba
3. kufanya kama kibarua
4. kuondolewa katika kampuni
5. kuendelea katika uchunguzi husika
 
Huku ni tofauti kidogo, plobation ni miez 3, kuhusu onyo cjashuhudua ila ni boss tu akiona performance haimlidhishi anampigia cm hr ana terminate.

Dah hilo ni tatizo kwa kweli kimsingi mfanyakazi anatakiwa apewe onyo kwanza kabla ya kumchukulia hatua ya kufukuzwa kazi. Pia kipind cha majaribio yaan probation kinaweza kuwa miezi mitatu hadi sita na sio zaidi ya hapo. Ndani ya kipndi hicho mwajiri anaangalia utendaji wa mfanyakazi then kama ataridhishwa basi mfanyakazi anatakiwa apewe taarifa ya utendaj wake wa kazi

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…