Mwangaruka
Member
- Nov 30, 2014
- 24
- 2
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.
Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kuna ma hr humu watatoa msaada juu ya hili suala.

Kampuni gani hiyo??????
hiki n kipind ambacho mwajiri anampima mwajiriwa kama anaweza kufit kwenye nafas husika na hii hufanya kipind cha miez kum na mbil au zaid kutgemeana na maelewano na isipungue miez sita labda kama mtu huyo anauzoefu na hyo ofic katika kipind hiki ikionekana hufai unapewa taarfa ya kujierkebisha ikionekana huelekei unaondolewa sasa sijui kama hao walikuwa wanapewa taarifa ya utendaj wao kabla ya kutimuliwa au laa
Hahaa, c vyema kuiweka waz.
Yah,ipo sheria inayomlinda.Kwanza kipindi cha probation hakitakiwi kupungua miezi 6 na kisizidi mwaka 1.Ikitokea mwajiliwa anashndwa kumudu majukumu yake tofauti na makubaliano,mwajiri anatakiwa kumweleza mapungufu na kumpa muda wa kujirekebisha.Akishindwa kujirekebisha anaweza kuachishwa kaz.HAWEZI KUFUKUYWA KIHOLELA.
Inawezekana analinda kibarua Heaven on Earth. Hahahahaa
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.
Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kuna ma hr humu watatoa msaada juu ya hili suala.
Hahaa, c vyema kuiweka waz.
Mi nilidha JK pekee ndo kashindwa kutaja wanaohusika na madawa ya kulevya, kumbe hata wewe
kwani watamjuaje Shefwaa na anatumia ID fake
Hahaa, c vyema kuiweka waz.