Habari zenu wanaJF, pia napenda kuwakumbusha tuendelee kuwa watulivu katika kipindi hiki cha majonzi. Mbele yenu nauliza matumizi, umuhimu, na faida za picha za viongozi katika ofisi za kiserikali. Nimekuwa nikiziona picha hizi mara nyingi sana sana ya raisi. Natanguliza shukurani za dhati kwenu.
Ziko wapi?
Ndo bei mkuu kwa JK zimebadilishwa mara mbili so watu wametoa 1,000,000.00 mpaka sasalabda cha kufahamu hapa, zile picha huwa zinauzwa tena bei yake siyo ya kitoto. inaweza kutengawewa hadi 500,000/tsh kwa picha moja tu.
<br />Habari zenu wanaJF, pia napenda kuwakumbusha tuendelee kuwa watulivu katika kipindi hiki cha majonzi. Mbele yenu nauliza matumizi, umuhimu, na faida za picha za viongozi katika ofisi za kiserikali. Nimekuwa nikiziona picha hizi mara nyingi sana sana ya raisi. Natanguliza shukurani za dhati kwenu.