Msaada kuhusu Paypal

Msaada kuhusu Paypal

Musasa

Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
23
Reaction score
6
Wanajamii naomba msaada kwa anayejua Benki yoyote hapa Bongo iliyo na huduma ya kufungua account inayowezesha kufanya transactions za paypal.
 
Nadhani bank zote zinazo offer visa, mastercard or online shopping zina uwezo wa kulink na paypal account!binafsi natumia paypal na nina CRDB Tembo Visa Card
 
Inachukuwa siku ngapi hela kutoka kwenye account ya bank kuingia kwenye paypal?

Nadhani bank zote zinazo offer visa, mastercard or online shopping zina uwezo wa kulink na paypal account!binafsi natumia paypal na nina CRDB Tembo Visa Card
 
Hapo sawa na nitajiunganisha haraka iwezekanavyo, zamani ilikuwa lazima uende bank ujaze form ndipo uweze kufanya online payments na ilikuwa inachukuwa hadi wiki 2 ndiyo nikagaili. Kama ni hivi basi sahivi safi. Nina ac crdb.

Fedha inatoka instantly. Kama uko crdb unapata msg kwenye simu yako hapohapo. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Hapo sawa na nitajiunganisha haraka iwezekanavyo, zamani ilikuwa lazima uende bank ujaze form ndipo uweze kufanya online payments na ilikuwa inachukuwa hadi wiki 2 ndiyo nikagaili. Kama ni hivi basi sahivi safi. Nina ac crdb.

Lazima kadi unayotaka kutumia iwe imewezeshwa na bank kuruhusu online shopping
 
Back
Top Bottom