Betason
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 388
- 705
wakuu salaam
ipo hivi, kuna ndugu yangu ameitwa mbele za haki sasa muda huu tunaandaa wasifu wake lkn kikwazo kimoja ni kwamba documents zake zote kuhusu elimu na mambo mengine yapo ktk pc kwahyo tunahitaji kupata password lkn imeshindikana
ombi langu kwa wataalam wa IT, tunawezaje kutoa hii pasword bila kufanya hard reset ambayo itafuta documents zote
ntashukuru sana nikipata msaada wakuu