Msaada kuhusu open university (out)

lushalila

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
283
107
Naomba mwenye kuwa na taafifa za chuo kikuu huria Tanzania nikihusisha kozi zitolewazo na ada zake ,
Specific nikilenga certificate in law , ada zake na minimum qualification,.
Thanks
 
Google web yao upate information za awali kwanza then hapa utaongezea tu ndugu
 
Nime google sijashiba ndo maana kama kuna wadau wanipe kilichokamili. Mkuu
 
Naomba mwenye kuwa na taafifa za chuo kikuu huria Tanzania nikihusisha kozi zitolewazo na ada zake ,
Specific nikilenga certificate in law , ada zake na minimum qualification,.
Thanks
Open hakuna certificate of law.
 
Open certificate ya law hamna inaanza diploma tena diploma zipo tatu kama sijakosea, degree, masters na PhD ndio uhakika... System iliyokua inatumika ya kozi ya foundation naona bado haijatatuliwa ndio ilikua inawabeba watu wengi kwa kile chuo
 
Back
Top Bottom