Windows Phone 7 haina uwezo wa USSD (mpesa etc) na hakuna njia ya kubadili hilo.
Windows Phone 8 ndo ina uwezo huo, hizi ni Lumia zote zinazoishia na ishirini 520, 620, 920 etc
nmekupata kk ila inaniwia vgumu kwan bila mpesa du hapa nimelamba joka na mtu analia last card.Ila kama kuna mtu anaiitaj tunaweza kuongea biashara tu.
ndo nn hyo kk na inafanywaje tafadhali msaada wako manake nshapoteza matumain.
kuna jamaa alidesign app ya ussd kwa ajili ya mtn southafrica inapiga kazi kwenye wp7, nenda store andika emdial halafu jaribu kutumia uangalie maybe inaweza kubali mitandao ya tz
faza nmejaribu inataka MTN ya south Africa pekee so sijui kama voda wana yao au la, da! mimi natangaza biashara kwa anayeiitaji.
250000/= pungufu tunaongea kama vp nchek 0767954466