Msaada kuhusu NIC

Msaada kuhusu NIC

jakomala

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
514
Reaction score
367
Mm nilikuwa mwanachama wa shirika la bima ya ELIMU kwa miaka mitano(5) ambapo nilichagua sum assured ya milioni mbili(2000000) Bima yangu iliiva toka mwezi wa tano 2019 ,Nilishaenda nikaandika barua ya kusitisha makato pia wanilipe hela yangu kwa kuzingatia kikokotoo cha kupara riba maana ni kama vile niliwekeza,sasa ni miezi 4 imepita bila response yoyote .
NAOMBENI MSAADA NI JINSI GANI NIWAINGILIE KISOMI ILI WASHATUKE WAJUE HUYU MTU NI MJANJA TUMLIPE HELA YAKE.
 
Jamani watalaam wa haya mambi naombeni mnisaidie maana hili shirika imekuwa kikwazo kwa wengi
 
Mkuu yalikukuta nn? Mpaka leo wananiambia eti hawajaletewa hela kutoka makao makuu.
Jamani watalaam wa haya mambi naombeni mnisaidie maana hili shirika imekuwa kikwazo kwa wengi
 
Back
Top Bottom