Habari zenu wakuu
Naomba msaada kuhusu nacte kutokana na kua niliapplay diploma in primary education inanionesha sijachaguliwa lkn ktk vyuo vyote inanionesha ninanafasi nisubiri second selection. Na ktk hivyo vyuo idadi ya walioomba ni kubwa kuliko uwezo wa vyuo sasa nashindwa kuelewa je niapplay tena au nifanyaje
Ushauri wenu Tafadhali niko njia panda