mamba1
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 466
- 248
Mimi ni mwalimu katika shule moja ya sekondari nchini.
Nina diploma ambayo ya ualimu ambayo niliipata mpwapwa mwaka 2009, ninaomba msaada wa haraka kama kuna uwezekano kuhusu application ya NOAS kwanza kuna matatizo zaidi ya mawili nakutana nayo:
1.Nilifanya mtihani wa kidato cha nne 2002 sikubahatika kufanya vizuri kwa hiyo nikafanya mtihani mwingine (another sitting) 2004 nikapata credit hivo kujiunga na private sasa shida nayopata ni jinsi ya kuingiza matokeo yangu haya kwenye system kwani matokeo yaliyokubali ni yale ya kikao cha kwanza, naombeni msaada jinsi ya kuweka matokeo yangu ya pili.
2. Mimi mwalim kama nilivyosema hapo awali kwa hiyo nashindwa kuapload matokeo yangu ya diploma kila nikijaribu kuapdate ina feli kabisa.
Mwisho vyuo vinavyotoa fani yangu pendwa ya ualim kama UDOM (NG'OX), MUCE NA DUCE sijaviona kwenye orodha ya vyuo vya NACTE.
Naomba msaada kuhusiana na jambo hili bcoz deadline ni tarehe 30 Mei.