Msaada kuhusu mwendokasi wa gari

Msaada kuhusu mwendokasi wa gari

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
Gari imepigwa tochi ya 90. Ila gari inayo king'amuzi na ikifikisha speed 85 kinatoa sauti. Polisi wanasema ni kosa tumezidi 80na wametupiga faini.

King'amuzi ni kizima hakijawahi kushikwa na speed inasoma sahihi. Latra wanasema hatujazidi 83. Na polisi wanataka kumweka dereva ndani tufungue kesi au tulipe faini. Msaada kidogo.
 
Malizana na Polisi uenedelee na mambo yako. Utapoteza mda tu.
 
Back
Top Bottom