Katamya
Member
- Dec 1, 2015
- 68
- 34
Habari za Wakati huu wana Jamii, nimechaguliwa na TCU kufanya mtihani wa RPL ambao utafanyika jumatatu ya wiki ijayo 10th July, Kwa wenye experience na huu mtihani naomba msaada kujuzwa ni aina gani ya maswali wanayotoa mana hakuna notes wala lecture yoyote wanayotoa kuelekea mtihani huu.