Msaada kuhusu MSD

mbaga45

Member
Feb 9, 2015
70
22
Ndugu ******, MSD inakukaribisha kwenye usahili kwa nafasi uliyoomba ya Warehouse Assistant itakayofanyika siku ya Jumanne tarehe 13/6/17 saa 3:00 asubuhi shule ya Sekondari Chang'ombe ndani ya DUCE, Dar es Salaam. Tafadhali fika na kitambulisho chako. Gharama za usafiri hazitarudishwa.
Kwa maelezo zaidi piga 255 22 2860890/7

"Je kuna haja ya kwenda na vyeti au kitambulisho chochote too"
 
VYETI NA VITAMBULISHO PIA.IKIBIDI WEKA NA PASSPORT SIZE NNE USISAHAU NA POWER BANK YA ASILI AKA HIRIZI
 
Hahahahahhahaha. Umetishaaa kaka.power bank huwa zinahusika kumbee.ndo maana me huwa naferi kumbe zinatkiwa.
Me ntaenda na bible nadhni ni zaidi ya iyo *tunguli*
 
Ndugu ******, MSD inakukaribisha kwenye usahili kwa nafasi uliyoomba ya Warehouse Assistant itakayofanyika siku ya Jumanne tarehe 13/6/17 saa 3:00 asubuhi shule ya Sekondari Chang'ombe ndani ya DUCE, Dar es Salaam. Tafadhali fika na kitambulisho chako. Gharama za usafiri hazitarudishwa.
Kwa maelezo zaidi piga 255 22 2860890/7

"Je kuna haja ya kwenda na vyeti au kitambulisho chochote too"
Piga namba hizo,kuwa makini na utapeli. Umepewa email au sms?
 
Hivi naomba kufahamishwa, shule ya sekondari Chang'ombe ipo ndani ya DUCE?
 
Kwn itakuwa tofauti na wngne,kama tunaenda kwenye paper huwa vyeti sio lzma. Maana ata ukienda umevaaa boxer wawooooo wanakuruhusu ufanye paper Lao
Mkuu unapopata opportunity za namna hiyo, jitahidi sana usiwe mtu wa kulaumiwa ( i mean usijaribu kutengeneza any loop hole) Kama unao uwezo wa kubeba vyeti kwanini usibebe tu? Kwenye mitihani ulibeba Penseli na hapakuwa na mchoro, kwan kunashida hapo; Kama ni mkristo Basi Kumbuka Vaeni Silaha zote.
 
P0a.kaka ntafanya ivo
 
Back
Top Bottom