msaada kuhusu mimba za kupandikizwa

salito

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,408
716
wana jf na docta.hivi hizi mimba kila mwanamke anaweza kupandikiziwa?au kunamazingira yanaweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na mwanamke aliepandikizwa mwili wake utatengeneza maziwa na atanyonyesha akizaa au?
 
Back
Top Bottom