Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Riz wan mbegu zao ni hybrid kama ilivyo za eden...assila...

Kujua kwa macho ngumu...ila ukisoma kwenye pakti utaona imeandikwa hybrid au f1!! Hii inamaanisha ni hybrid seeds!
Umewatetea mkuu...niambie ukweli hawakuniuzia mbegu....nilinunua miche
 
mkuu nipo dar-es-salaam huku ni joto sana....sijui hapo itakuwaje...
Mkuu kama upo hapa DAR mbona mbegu bora za F1 za kila aina zinapatikana kariakoo. Nenda soko kuu la kariakoo kuanzia ground floor hadi ghorofa ya kwanza. Mbegu za kukamua hizo hutoa mazao duni machache na hushambuliwa sana na magonjwa. Tafuta uzi wa jamaa wa KILIMO MAARIFA upo humu JF jamaa atakupa ushauri mbegu gani ununue kutokana na muda na sehemu unayotaka kulima, kisha nenda kanunue Kariakoo.
 
Asante ubarikiwe sana...
 
kuna hizi mbegu zinaitwa ASSILA nasikia ndio mkombozi kwa wakulima hasa wa morogoro
Mimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72, Baada ya siku tatu nikapiga Polyfeed Starter tare 5/6 nimeweka mbolea ya Yaramila. Kuna mdudu aliingia kwenye shina mbili nimepiga dawa ya Prove...Nyanya zinaendelea vizuri na sijawahi kunyeshea maji tangu nizipande shamban, Ila cutworms walinikaribisha shamban! Ningependa kujua kama kunao uwezekano wa kuwaua hawa minyoo kabla ya kupanda....?
 
Attachments

  • 20170607_131424-1.jpg
    20170607_131424-1.jpg
    408.5 KB · Views: 202
Mimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72, Baada ya siku tatu nikapiga Polyfeed Starter tare 5/6 nimeweka mbolea ya Yaramila. Kuna mdudu aliingia kwenye shina mbili nimepiga dawa ya Prove...Nyanya zinaendelea vizuri na sijawahi kunyeshea maji tangu nizipande shamban, Ila cutworms walinikaribisha shamban! Ningependa kujua kama kunao uwezekano wa kuwaua hawa minyoo kabla ya kupanda....?
Correction! Baada ya siku 10 nilipiga Dudu All nikachanganya na Ebony M72 Ridomill nilipiga mara moja tu
 
Mimi ndio Kwanzaa nimeingia kwenye kilimo na nimelima hizo Assila F1 mpaka sasa zina siku 21 tangu nimehamisha shamban. .. Kwa nilichoona hawa cutworms walikula ila nilipiga Dudu All nikachanganya na Ridomill ajili ya ukungu, Baada ya siku 10 nikapiga tena Ridomill nikachanganya na Ebony M72, Baada ya siku tatu nikapiga Polyfeed Starter tare 5/6 nimeweka mbolea ya Yaramila. Kuna mdudu aliingia kwenye shina mbili nimepiga dawa ya Prove...Nyanya zinaendelea vizuri na sijawahi kunyeshea maji tangu nizipande shamban, Ila cutworms walinikaribisha shamban! Ningependa kujua kama kunao uwezekano wa kuwaua hawa minyoo kabla ya kupanda....?
mkuu ww unalima wapi?
 
Umewatetea mkuu...niambie ukweli hawakuniuzia mbegu....nilinunua miche
Pole,
Naona akaunti yako ya kwanza ilikula kifungo, Umenunua wapi miche?? kwa gharama gani??
Na Nyanya unapanda kwa interval gani??
 
Kila mmoja umenigharimu shilingi 144...nilisafiri kwa tabu kutoka bagamoyo hadi dar kwa pikipiki...kuisafirisha miche 500 ya Nyanya duh...sitoisahau ile safari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom