Msaada kuhusu mazoezi na mbinu za kujenga mwili kwa wanaume

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habari za jioni wakuu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18, tatzo langu ni Kuwa Nina uzito pungufu na pia mwili Wangu ni mdogo kulinganisha na vijana wengine wa umri Wang. Nina kg 45 na urefu 160. Ninataka niweze kuongeza mwili wangu uzito, urefu na pia nguvu zangu za mwili ili nisiwe legelege kama nilivyo sasa hivi.

Nilifikiri kuanza mazoezi ya gym kungenisaidia Ila bado sijaamua kuanza naombeni ushauri nifanye vipi niweze kuongeza uzito na mwili Wangu pamoja na kuongeza nguvu na stamina kwa njia yoyote ile. Na pia ushauri kuhusu vyakula na lifestyle nzima.

Asante.
 
Zingatia vyakula vyenye kutia nguvu ili ujenge mwili, yaani zingatia sana msosi, pili anza kwenda gym Kwa vile umeonesha unapenda kufanya hivyo Ila usinyanyue vitu vizito sana ukiamini mwili utaongezeka, utaishia kukomaa na mwili utagoma. Summary: kula vizuri - balance diet + mazoezi ya kawaida. Ndani ya miezi Sita mpaka Tisa utaanza kuona mabadiliko
 
Unaishi mjini au kijijini? Kama unaishi mjini utakuwa na utapiamlo kwa sababu vyakula ulivyolishwa tangu ukiwa mdogo. Mfano: maziwa ya kopo, ulivyoota meno ukalishwa sembe, ulivyokuwa MTU mzima ukaanza chips mayai ya kisasa n.k
Ushauri: nunua sahani yenye mashimo manne, andaa chakula ambapo shimo moja litakuwa na dona au mihogo au ugali wa ulezi/mtama/brown rice/ndizi; shimo la pili weka maharage/samaki/yai la kyenyeji/maziwa; shimo la tatu no mboga za majani, la NNE matunda. Vyote in kwa uwiano sawa kiuzito. Tahadhari: kutafuta uzito kwa lazima ni hatari kwa afya yako
 
Kula Ugali wa Sembe Nusu Kilo (0.5kg) na Harage Robo (1/4kg) na Gilasi 3 - 4 za Maji Kwa Mlo Mmoja tu Wa Mchana Kwa Muda Wa Siku 20.
Halafu tuletee Mrejesho Hapa.
 
Habari za jioni wakuu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18, tatzo langu ni Kuwa Nina uzito pungufu na pia mwili Wangu ni mdogo kulinganisha na vijana wengine wa umri Wang. Nina kg 45 na urefu 160. Ninataka niweze kuongeza mwili wangu uzito, urefu na pia nguvu zangu za mwili ili nisiwe legelege kama nilivyo sasa hivi. Nilifikiri kuanza mazoezi ya gym kungenisaidia Ila bado sijaamua kuanza naombeni ushauri nifanye vipi niweze kuongeza uzito na mwili Wangu pamoja na kuongeza nguvu na stamina kwa njia yoyote ile. Na pia ushauri kuhusu vyakula na lifestyle nzima. Asante
Download app inaitwa jefit iko play store
 
Unaishi mjini au kijijini? Kama unaishi mjini utakuwa na utapiamlo kwa sababu vyakula ulivyolishwa tangu ukiwa mdogo. Mfano: maziwa ya kopo, ulivyoota meno ukalishwa sembe, ulivyokuwa MTU mzima ukaanza chips mayai ya kisasa n.k
Ushauri: nunua sahani yenye mashimo manne, andaa chakula ambapo shimo moja litakuwa na dona au mihogo au ugali wa ulezi/mtama/brown rice/ndizi; shimo la pili weka maharage/samaki/yai la kyenyeji/maziwa; shimo la tatu no mboga za majani, la NNE matunda. Vyote in kwa uwiano sawa kiuzito. Tahadhari: kutafuta uzito kwa lazima ni hatari kwa afya yako
U killed it Sir!!!!!
 
Piga nondo,,sqwaty kwasana , msosi kwa wingi na matunda ,ugali Kula Dona,, mi nna body ya kibabe kwa mazoezi hayo, na pia ruka kamba kujenga wepesi
 
Unaishi mjini au kijijini? Kama unaishi mjini utakuwa na utapiamlo kwa sababu vyakula ulivyolishwa tangu ukiwa mdogo. Mfano: maziwa ya kopo, ulivyoota meno ukalishwa sembe, ulivyokuwa MTU mzima ukaanza chips mayai ya kisasa n.k
Ushauri: nunua sahani yenye mashimo manne, andaa chakula ambapo shimo moja litakuwa na dona au mihogo au ugali wa ulezi/mtama/brown rice/ndizi; shimo la pili weka maharage/samaki/yai la kyenyeji/maziwa; shimo la tatu no mboga za majani, la NNE matunda. Vyote in kwa uwiano sawa kiuzito. Tahadhari: kutafuta uzito kwa lazima ni hatari kwa afya yako
Kijana wa miaka 18 atamudu hizo gharama? Labda kama kwao mambo si haba.
 
Sisemei wewe mkuu ila hili ttz no kubwa kwa vijana wa kileo tena unakuta MTU mwembamba amenyooka kama asikirimu pia kapinda kama upinde upepo unamsukuma basis tabu tupu.
 
Piga mazoezi ya kufa mtu halafu kula chochote utakachokiona mbele yako
Nakuhkikishia
 
mm nakushaur usiende gym , coz gym inabd uwe unaenda kla cku yaan ukikaa mwez mmoja bla kwenda gym unarud tena katka hali yako ya mwanzo,, nliwah kuwa muhanga Wa tatzo km lako yaan nlkuwa mwembamba sana isitoshe mm ni mrefu ,, nlibahatka kukutana na mwalimu Wa karate kpnd anapoenda zoezn alikuwa ananivuta twende tena kwa lazma maana jamaa alinionea huruma kamwili kang jins kalivyokuwa,, tukaanza kupga pushup ye anapga pushup 100 ,mm nmepga 5 had 8 hapo mwl umechoka knoma, nlianza kuzoea mwili ukaanza kubadlka , badae akanifundisha zoez la squart kiukwel hili zoez ni nzur sana ukiwa na msos unaoeleweka utaona mabadlko baada ya siku 15 tu.. ni zoez nzur ukilifanya kwa nia unajaa vzur sana mpaka watu wanakuonea wivu,, saiz umbo langu LPO vzur sana mpaka nkienda kjjn wananiambia rud ulikotoka huku hakukufai kabisa,, jtahd ufanye hli zoez la squart usisahau chakula bora, km unaish mazngira ya joto km dar ,au karbu na maeneo ya ziwa utaona mabadlko haraka sana..
 
Kula dona, mboga za majani kila siku, matunda aina yote, maji Lita moja kila siku asubuhi na jioni, push up kwa sana na kuwa huru usiwe na mawazo we bado chalii sana.
 
Kujenga the perfect body u wish ni ishu rahisi na pia ni ngumu kutegemeana na Mazingira. Actually when u build ur body u become the enemy of urself coz unahitaji kujipunish from within Kwa mazoezi. So unatakiwa ujiandae kisaikolojia coz ur body follows ur mind. Have that good attitude about urself, jipe hope kwamba unaweza na utachange, plan ur time table ya mazoezi and follow it thoroughly. Google out diff. Exercise na pros ambao wameshatoka. Kikubwa always plan from SIMPLE to COMPLEX anza taratibu usikurupuke. And lastly ule vizuri nutritious and homemade food sio chips mayai. If u hit a gym ni six weeks tu, utafutahia mwili wako. Cheers!
 
mm nakushaur usiende gym , coz gym inabd uwe unaenda kla cku yaan ukikaa mwez mmoja bla kwenda gym unarud tena katka hali yako ya mwanzo,, nliwah kuwa muhanga Wa tatzo km lako yaan nlkuwa mwembamba sana isitoshe mm ni mrefu ,, nlibahatka kukutana na mwalimu Wa karate kpnd anapoenda zoezn alikuwa ananivuta twende tena kwa lazma maana jamaa alinionea huruma kamwili kang jins kalivyokuwa,, tukaanza kupga pushup ye anapga pushup 100 ,mm nmepga 5 had 8 hapo mwl umechoka knoma, nlianza kuzoea mwili ukaanza kubadlka , badae akanifundisha zoez la squart kiukwel hili zoez ni nzur sana ukiwa na msos unaoeleweka utaona mabadlko baada ya siku 15 tu.. ni zoez nzur ukilifanya kwa nia unajaa vzur sana mpaka watu wanakuonea wivu,, saiz umbo langu LPO vzur sana mpaka nkienda kjjn wananiambia rud ulikotoka huku hakukufai kabisa,, jtahd ufanye hli zoez la squart usisahau chakula bora, km unaish mazngira ya joto km dar ,au karbu na maeneo ya ziwa utaona mabadlko haraka sana..
Squart ndio zoez gani hill?
 
Back
Top Bottom