mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 287
- 472
Kuna kitu hua nashindwa kuelewa kuhusu hizi mashine kuna hizi mashine za kichina kwanzia laki na nusu nakuendelea je zinatofautiana nini wakati zote zina Current sawa ? Kwann zitofautiane bei na kuna hizi za kusuka nazo zina tofauti na hizi za kichina kwenye utendaji? Je mtu alichoma kwakutumia haka kamashine ka laki na nusu na mwingine akachoma kwa hizi za kusuka kutakua na utofauti? .
Mimi nimenunua haka kadogo kabisa ila sikaelewi mara katoboe toboe mara stick inatenate shida nini? Wakuu
Mimi nimenunua haka kadogo kabisa ila sikaelewi mara katoboe toboe mara stick inatenate shida nini? Wakuu