Msaada kuhusu Lumia 535

Msaada kuhusu Lumia 535

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,598
Reaction score
5,187
Habari yenu wakuu nimejikongoja na kupata Lumia 535 used kwa muonekano wangu iko poa. Sasa kuna baadhi ya mambo yananishinda mfano kudownload wasap kila nikijaribu inafeli na inakomandi nitumie WiFi sasa hapo ndipo ninapokwaama kabisa lakini pia kila ninapokua online kwa muda simu inakua inachemka Sana, sasa sijui nini suluhisho la matatizo hayo. Mwenye ujuzi pia wa kuweza niongezea baadhi ya application au hata vitu vingine katika simu hii anisaidie.
 
Kwenye whatsap ilinifanyia hivyo ilitaka nidowload kwa kutumia wifi, nilichofanya,nilixhukua simu nyingine,nikawasha wi fi ya hiyo simu nikakonect na yangu, ndo nikaweza kudownloas
 
ninayo yakwangu haina tatizo lolote nipe 150000 tu, niikuachie.
 
Back
Top Bottom