MSAADA KUHUSU LCDs na CRTs

Mgjd

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
531
95
Wandugu naombeni kwa wale wazoefu wa Tv,nijuzeni kuhusu UIMARA WA ILE GLASS SCREEN YA TV ZA LCDs ukilinganisha na zile tulizozoea za CRT/CHOGO. Aidha kama ni delicate sana ama strong enough to utilise them in the rough home. Si unajua mambo ya watoto ndani ya nyumba? Ya Chogo wanatumia wawezavyo hata bahati imegongwa na kitu bado ina survive. Vipi kwenye hz HD TVs/LCDs.
 
Ugumu utategemea umeiweka sehemu gani,otherwise hakuna ngumu wala delicate hapo.
 
Back
Top Bottom