Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Habari zenu wana jukwaa
Nilipata tatizo la mguu baada ya kudondoka na nilipoenda hospital nikapigwa X-ray kisha doctor akanambia kwamba nimevunjika mfupa mdogo ambao haubebi uzito kisha palepale nikatakiwa nivae Plaster of Paris (POP) na nikaambiwa kwamba natakiwa nikae nayo kwa muda wa wiki 4
Siku ya kwenda kufungua POP ilipofika doctor akanambia kabla sijafunguliwa POP natakiwa nipige tena X-ray na kama maendeleo yatakua bado sio mazuri nitatakiwa nikae nalo tena kwa wiki mbili zaidi
Nilivyopiga X-ray doctor akasoma ile picha kisha akanambia kwamba maendeleo ni mazuri kwahiyo inabidi nitolewe ili POP kisha akanipa maelekezo kwamba katika kipindi cha miezi miwili mpaka mitatu sitakiwi kukimbia ila nitembee tu kawaida mpaka pale hali itakapokua imeimarika kabisa
Swali langu hapa ni je, Doctor aliponambia maendeleo mazuri maana yake kwamba mfupa umeshaunga au tafsiri yake ni nini ?
Naomba kwa wenye uzoefu wanijuze