Msaada kuhusu kuunganisha simu mbili katika mawasiliano

Msaada kuhusu kuunganisha simu mbili katika mawasiliano

philemon musa

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Hbrn wadau wa if naomben msaada maana nataka kumuunganisha mtu ktk simu yngu ili kama anawasiliana na mtu mwingine nijue anachowasiliana nae na ktk sms zake anazochati niwe naziona kupitia simu yng
 
Acha wivu na ukuda we fanya yako, hamna kitu kama hicho
 
Mkuu naweza kukusaidia Kwa kulipia

Ila kabla ya yote. Kwann unataka kufanya hvyo?
 
Back
Top Bottom