Msaada kuhusu kuthibitisha/kubadili chuo NACTE

freeboy

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
242
191
Wanabodi nawasalimu,

Ndugu zangu napenda kuuliza utaratibu wa kuomba kuhama chuo kwa mtu aliyepangiwa chuo na NACTE.

Kwa mujibu wa maelezo ya NACTE kama ilivyoelezwa hapa chini:

1150454

Na tangazo likaendelea kujieleza kama hapo chini:

1150455

Maswali la Msingi:

1. Je mwanafunzi anayetakiwa kuthibithia ambaye anataka kuhama chuo na kozi aliyochaguliwa na NACTE itakuaje ambapo atakua tayari kathibitisha ila ajabahatika kupata nafasi ya kozi/chuo anachotaka kuhamia. ?

AU

2. Je huyu mwanafunzi akiamua kuomba tena katika chuo/kozi anachitaka kusoma aitaleta mgongano wowote na selection yake ya NACTE (Bila ya kuconfirm ile nafasi ya NACTE) ?

3. Je mwanafunzi mwenye F ya math anaweza kusoma clinical officer ?

Naomba kuwasilisha.
 
Je,Ulifanikiwa kubadili/kuhama kozi/chuo?
Nimejaribu kuingia website ya nacte wametoa maelekezo ya jinsi ya kubadili/kuhama chuo lakini kuna kipengele kinahitaji uweke namba ya simu uliyotumia wakati unathibitisha na katika ishu ya uthibitisho hakukuwepo na chaguo la kuweka namba ya simu.
Hilo umelifanikisha vipi mkuu?
 
Wanabodi nawasalimu,

Ndugu zangu napenda kuuliza utaratibu wa kuomba kuhama chuo kwa mtu aliyepangiwa chuo na NACTE.

Kwa mujibu wa maelezo ya NACTE kama ilivyoelezwa hapa chini:

View attachment 1150454

Na tangazo likaendelea kujieleza kama hapo chini:

View attachment 1150455

Maswali la Msingi:

1. Je mwanafunzi anayetakiwa kuthibithia ambaye anataka kuhama chuo na kozi aliyochaguliwa na NACTE itakuaje ambapo atakua tayari kathibitisha ila ajabahatika kupata nafasi ya kozi/chuo anachotaka kuhamia. ?

AU

2. Je huyu mwanafunzi akiamua kuomba tena katika chuo/kozi anachitaka kusoma aitaleta mgongano wowote na selection yake ya NACTE (Bila ya kuconfirm ile nafasi ya NACTE) ?

3. Je mwanafunzi mwenye F ya math anaweza kusoma clinical officer ?

Naomba kuwasilisha.
Haiwezekani
 
Back
Top Bottom