kkiwango
Senior Member
- Aug 27, 2007
- 173
- 14
Wandugu naomba msaada kwa anayefahamu utaratibu wa kununua kitu toka kupatana dot com. Kuna kitu nimekipenda ila owner anasema nilipe kwanza ndio waniletee, na mimi nasisitiza kukiona kwanza ndio nilipe. Yeye anasema kupata watanicontact ili nifanye transactions nao.
Niko changanyikiwa kidogo.
Pia mbona hawana namba za simu ili tutawafute tujue utaratibu wao ukoje?!
Niko changanyikiwa kidogo.
Pia mbona hawana namba za simu ili tutawafute tujue utaratibu wao ukoje?!