Una maana kwa sasa hakuna namna ya kupata copy ya kitambulisho.nakumbuka niliwacheki wakaniambia '''kaka miminimkulimaakachekasana hii huduma hatuna kwa sasa''
HAKUNA namnaUna maana kwa sasa hakuna namna ya kupata copy ya kitambulisho
Kitambulisho toka mwezi February mpaka leo naona hakijaprintiwaSubir kitambulisho bwashee hii nchi usanii mwingi
Mbona mapema bwashee wengine tangu march 2019 hatujapata orgnal ukiwafes wanatoa lugha chafu we kama una shida nenda mitaa ya kariakoo upate ya kufoji ilimradi una namba.Kitambulisho toka mwezi February mpaka leo naona hakijaprintiwa.
Utafoji vipi mkuu wakati kuna QR codesMbona mapema bwashee wengine tangu march 2019 hatujapata orgnal ukiwafes wanatoa lugha chafu we kama una shida nenda mitaa ya kariakoo upate ya kufoji ilimradi una namba
Namaanisha kama kuna sehemu wanahitaji kopy na ni muhimu ili usikwame foji tuu mimi nimefanya hivyo nimefungua accounts crdb maana ilikua lazimaUtafoji vipi mkuu wakati kuna QR codes
Uko wapiNawezaje pata soft copy ya kitambulisho changu cha NIDA maana hii huduma naona kama imesitishwa mtandaoni
Je nikienda kwenye ofisi za NIDA wilayani naweza patiwa hii kitu maana ninaihitaji sana kwa sasa
Niko ndani ya mipaka ya TanzaniaUko wapi
Taja mkoa usaidiwe kama hutaki basi.Niko ndani ya mipaka ya Tanzania
Ndio bongo hiyo mkuuuIna maana utoaji was Vitambulisho Umesitishwa kwanza tumeishia kupata no za Vitambulisho?
Tanzania kula kitu huwezekana.
Wako wapi waliopewa Tends ya Mamilioni ya kututengenezea Vitambulisho?
Only in Tanzania tu Walahi!![]()
Uko wapi
Niko ndani ya mipaka ya Tanzania
Taja mkoa usaidiwe kama hutaki basi.

Kwani kama number tayari unayo ukiingia website ya nida si unaona softcopy ya kitambulisho chako then una print? au iyo website haifanyi kazi au unataka original?Nawezaje pata soft copy ya kitambulisho changu cha NIDA maana hii huduma naona kama imesitishwa mtandaoni
Je nikienda kwenye ofisi za NIDA wilayani naweza patiwa hii kitu maana ninaihitaji sana kwa sasa
These men are not serious au labda website yao huwa inahackiwa Mara kwa Marawebsite zote za nida hazifanyi kazi, mwenye anauni za mkurugenzi wa nida naomba anisaidie.
Walisitisja Wao wenyewe NIDA Walisema Sio Safe tena ku download copy ya kitambulisho kutoka kwenye website.These men are not serious au labda website yao huwa inahackiwa Mara kwa Mara