Msaada kuhusu kupata copy ya kitambulisho cha NIDA

Msaada kuhusu kupata copy ya kitambulisho cha NIDA

Walisitisja Wao wenyewe NIDA Walisema Sio Safe tena ku download copy ya kitambulisho kutoka kwenye website
Kwahiyo Tanzania hakuna web developer anayeweza kusolve hilo tatizo ili huduma ilejee kama kawaida?
 
Mimi nataka kupata no ya nida msaada tafadhali
 
After Corruption, bureaucracy is another heart-attack disease underlying social services provision in Tanzania!!!!
So many unnecessary blah! blah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naipataje namba ya NIDA kwa haraka maana ofisini wanasema hadi mwezi upite japo nina haraka nayo
 
Ina maana utoaji was Vitambulisho Umesitishwa kwanza tumeishia kupata no za Vitambulisho?

Tanzania kula kitu huwezekana.

Wako wapi waliopewa Tends ya Mamilioni ya kututengenezea Vitambulisho?
Only in Tanzania tu Walahi!

Pesa zimepelekwa kwenye kampeni za CCM, kulipia akina zuchu, msaga msumu na wengineo huko.
 
Back
Top Bottom