Poa best, ngoja nijaribu, yaani nina Mzuka sana na Tractor this time.Jaribubkuwasiliana na epza uone kama unawezakunufaika na lolote. Hata kama watakuzungusha miezi na ikaweza kuokoa milioni kadhaa sioni tatizo. Google namba yao kwa website.
Poa,John Deer ni matrekta mazuri ,Morroco Dar es salaam,mtaa wa ursino na bei ni kulingana horse power ya tractor utakalo.Kwa mawasiliano na aina za hayo matrekta google john deer Tanzania
bei ni za kawaida,matractor wanauza mapaya kabisa na wanazo spea parts za kutosha,mafundi wao ambao ni john deer certified.kabla ya kuamua kuagiza nje waone hawa sababu kuagiza yaweza kuwa gharama zaidiPoa,
Nikishindwa ku-import nitawaona hao, hopping hawana bei za kutisha!!
unamaanisha hiyo hela ndio ununulie tractor!!!?Wadau humu ndani habari zenu, hili suala limenigusa nahitaji kwa ajili ya kusombea mbao msituni huku njombe kwetu. majibu ya SHAKIR yatanipa mwanga. kabajeti kangu mil 5 tu !
massay 265 au 285. Ford au john deerWadau,
Nataka kununua Trekta either kwa kuagiza Nje, au kununulia hapa hapa bongo, kuna mwenye kujua taratibu za importation?
Ni kweli Niki-import hakuna kodi bandarini (exempted) ??
Ni kodi zipi zipo exempted?
Na ni aina gani nzuri ya matrekta inayofaa?
Na kama nikiamua kununulia hapa bongo, wapi nitalipata kwa unafuu?
Kuna jamaa yangu kaniambia kua matrekta ya KILIMO KWANZA yaliyopo pale Mwenge Jeshini mengi ni feki.
Wadau humu ndani habari zenu, hili suala limenigusa nahitaji kwa ajili ya kusombea mbao msituni huku njombe kwetu. majibu ya SHAKIR yatanipa mwanga. kabajeti kangu mil 5 tu !
Mkuu kwa milioni 5 huwezi kupata trekta popote pale inayoeleweka..sema kuna wakulima huwa wanataka kubadilisha trekta na kuchukua mpya huwa wanayauza ya zamani.Unaweza kubahatisha huko?
Hayo ya kilimo kwanza Farm track usilogwe kuchukua, ni vimeo af spare parts zake hazipatikani. Jaribu na matrekta ya Swaraj ni mazuri sana. Kwa bajeti yako hiyo ya 5Ml utaishia kununua 3 disc plough hata used hauwezi kupata kwa pesa hiyo.
unamaanisha hiyo hela ndio ununulie tractor!!!?
Mkuu +255 una data za karibuni za bei ya swaraj FE 855 au FE 744 mpya?