Msaada kuhusu kuinganisha VISA card na PAYPAL AKAUNTI

Fedhuli

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
351
Reaction score
123
wataalamu, nimefungua akaunti paypal. nikijaribu ku link VISA card yangu ya CRDB na pay pal inagoma, ujumbe unokuja ni kwamba, natakiwa billing address and street address zi match. nimekwenda CRDB na kueleza hilo tatizo, kwani card yangu niliisubscribe kwenye internet banking tokea mwaka jana. CRDB wameniambia nijaribu tu mwisho itakuja kukubali. nimerudia tena bila mafanikio. baadaye nikahisi kwamba labda address ninayotumia nitofauti na niliyofungulia akaunti, nikatumia address yangu iliyopo kwenye bank statement bado inakataa. naombeni ushauri wanajamvi...........
 
pita hapa...
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/502603-manunuzi-kwa-ebay.html
 
wataalamu, nimefungua akaunti paypal. nikijaribu ku link VISA card yangu ya CRDB na pay pal inagoma, ujumbe unokuja ni kwamba, natakiwa billing address and street address zi match. nimekwenda CRDB na kueleza hilo tatizo, kwani card yangu niliisubscribe kwenye internet banking tokea mwaka jana. CRDB wameniambia nijaribu tu mwisho itakuja kukubali. nimerudia tena bila mafanikio. baadaye nikahisi kwamba labda address ninayotumia nitofauti na niliyofungulia akaunti, nikatumia address yangu iliyopo kwenye bank statement bado inakataa. naombeni ushauri wanajamvi...........

Kuna mambo kadhaa ambayo mi niliyapitia kabla ya kukwama mwisho. Iko hivi kwanza ukijiunga kwenye Pay pall bila ridhaa ya CRDB hawakubali sanasana wanaweza wakaifunga card yako. Ulitakiwa Pale ulipofungulia akaunti uwaone wai enable ili uweze kufanya online transactions wenyewe wanaita e banking.(mimi ilichukua masaa 72 kuwa active tangu siku nilipoandika barua) baada ya hapo utajaribu kui link kama umefanikiwa Paypall watakuambia kuwa kwenye ac yako wamepinguza kiasi cha Dola 1.95 ambacho watakirudishabaadae, kwa hiyo kama transaction imefanyika watakwambia uende kwenye bank yako halafu utakwenda kuwaomba bank statement (Siyo bank statement ya kawaida waambie ambayo iko detailed, mi walinitoza tsh 5000). Ukishapewa statement iangalie kwenye transaction ambao ilitolewa ile usd. 1.95. Kwenye mstari wa hiyo yransaction kuna code inakuwa imetumwa na Paypall wakati wa transaction. Ichukue hiyo code halafu ingia kwenye page ya Paypall tafuta sehemu activate ac then activate acount. Ukifeed hizo code kama umefanikiwa watakuambia kwamba akaunti yako imekubaliwa sasa uko tayari kuweza kufanya manunuzi ya e bay. Kwa kirefu ndiyo hivyo nadhani umenielewa elewa kidogo na uzoefu mwingine utaupata wakati ukipiga hiyo misele
 
kabla ya kuandika threads jaribu ku search from within j.f
zipo nyingi mno. wanaelezea jinsi ya kusolve paypal na crdb. imekuwa wiimbo wa taifa. search utapata. ni nyingi mno tena kiswahili.
 
Kuna mambo kadhaa ambayo mi niliyapitia kabla ya kukwama mwisho. Iko hivi kwanza ukijiunga kwenye Pay pall bila ridhaa ya CRDB hawakubali sanasana wanaweza wakaifunga card yako. Ulitakiwa Pale ulipofungulia akaunti uwaone wai enable ili uweze kufanya online transactions wenyewe wanaita e banking.(mimi ilichukua masaa 72 kuwa active tangu siku nilipoandika barua) baada ya hapo utajaribu kui link kama umefanikiwa Paypall watakuambia kuwa kwenye ac yako wamepinguza kiasi cha Dola 1.95 ambacho watakirudishabaadae, kwa hiyo kama transaction imefanyika watakwambia uende kwenye bank yako halafu utakwenda kuwaomba bank statement (Siyo bank statement ya kawaida waambie ambayo iko detailed, mi walinitoza tsh 5000). Ukishapewa statement iangalie kwenye transaction ambao ilitolewa ile usd. 1.95. Kwenye mstari wa hiyo yransaction kuna code inakuwa imetumwa na Paypall wakati wa transaction. Ichukue hiyo code halafu ingia kwenye page ya Paypall tafuta sehemu activate ac then activate acount. Ukifeed hizo code kama umefanikiwa watakuambia kwamba akaunti yako imekubaliwa sasa uko tayari kuweza kufanya manunuzi ya e bay. Kwa kirefu ndiyo hivyo nadhani umenielewa elewa kidogo na uzoefu mwingine utaupata wakati ukipiga hiyo misele

duh kumbe, hii code inaweza ikawa bado actove hata kama umepita mwezi mzima.
 
wataalamu, nimefungua akaunti paypal. nikijaribu ku link VISA card yangu ya CRDB na pay pal inagoma, ujumbe unokuja ni kwamba, natakiwa billing address and street address zi match. nimekwenda CRDB na kueleza hilo tatizo, kwani card yangu niliisubscribe kwenye internet banking tokea mwaka jana. CRDB wameniambia nijaribu tu mwisho itakuja kukubali. nimerudia tena bila mafanikio. baadaye nikahisi kwamba labda address ninayotumia nitofauti na niliyofungulia akaunti, nikatumia address yangu iliyopo kwenye bank statement bado inakataa. naombeni ushauri wanajamvi...........

UBA Wamepatoa utatuzi kwa wale waliokua wakipata tabu na manunuzi mtandaoni kwa kuleta visa card yao isiohitaju kua na account na ni card pekee iliothibitishwa na visa (verified by visa) hibyo pesa zako haziwezi kupotea hata kidogo. Jinsi ya kupata tembelea matawi ya uba posta kkoo na pugu road
 
Back
Top Bottom