Possible inaweza kuwa nayoSawa nawezaje fanya ili niisuport iwe na local channel ukiacha hivi visimbusi.
Pia kwa 450,000
Unashauri nichukue hiyo smart au nichukue LED tupu kwa 330,000 LED 32D3000.
Vipi muonekano wa picha wa hii TV na vitu vingine mkuu kiujumla na ulichukua ngapi boss?Possible inaweza kuwa nayo
Yangu ni version ya chini kidogo na ina kingamuzi cha ndani
Angalia hii model numberView attachment 1254724
Iko vizuri sana mkuu, ina kingamuzi, ni smart tv (Youtube, google, Netflix ni ya kulipia).Vipi muonekano wa picha wa hii TV na vitu vingine mkuu kiujumla na ulichukua ngapi boss?
Anhaa kwa hiyo hata hiyo ya 32S6500S bila shaka itakuwa nayo.Iko vizuri sana mkuu, ina kingamuzi, ni smart tv (Youtube, google, Netflix ni ya kulipia).
Muonekano wa picha ni mzuri full HD, ukipata kingamuzi chenye picha nzuri mfano Dstv kwakwel unaenjoy
Nilichukua kwa 550K....
Bila shaka mkuu, ungejaribu pia kujihakikishia kutoka kwa muuzaji muulize hiyo modelA
Anhaa kwa hiyo hata hiyo ya 32S6500S bila shaka itakuwa nayo.
Anasema haina ila sina hakika na jibu lakeBila shaka mkuu, ungejaribu pia kujihakikishia kutoka kwa muuzaji muulize hiyo model
ofisi zao zipo wapi? au ni duka gani naweza kupata tcl original?Wana ofisi hapa Tanzania hivyo sidhani kama zinasumbua vifaa zikiharibika, ila kuwa makini kama itakuwa ni tv ambayo hawajaileta wap wenyewe unaweza ukakosa.
ndio maana wanauza bei hiyo....Anasema haina ila sina hakika na jibu lake
mda sana mkuu, am not sure sasa hivi wapo wapi ama Mo dewji ndio ana tenda yote ya nchi nzima.ofisi zao zipo wapi? au ni duka gani naweza kupata tcl original?
Naomba kufahamu LCD za smart TV ikiharibuka spare zake zinapatikana.Ila si advice kutumia roku kwa sasa wamepiga fyagio la maana, kuna apps kibao wamezitoa hata kusideload huwezi. Labda kama unataka box la netflix na youtube tu, maana hata amazon prime kwa huku kwetu wameitoa.
Mkuu tv kuwa smart ama kutokuwa smart hakuna mahusiano na upatikanaji wa spare.
Brand ya sundar TV, na Zingine za brand Kama hiyo zimenunuliwa Sana na kuhalibika LCD zake. Mimi Nilikuwa nazitafuta kwa ajiri ya biashara, iwe Dubai au China nawaza kuagiza. Shida Najitahidi kuzitafuta lakini sizipati spare hizi.Mkuu tv kuwa smart ama kutokuwa smart hakuna mahusiano na upatikanaji wa spare.
Kampuni ikiwa kwenye nchi fulani ama bidhaa nyingi zikiwepo basi na spare pia zinakuwepo nyingi.
Hivyo itategemea na brand na upatikanaji wa hio model.
Hizi brand ndogo huwa wanashare panel mkuu, cha muhimu fanya tafiti mwenyewe ama tafuta fundi mjanja mjanja fungueni panel moja iingie mtaani then linganisha na brand za kichina china kama singsung, boss, star x, blackview etc unaweza pata.Brand ya sundar TV, na Zingine za brand Kama hiyo zimenunuliwa Sana na kuhalibika LCD zake. Mimi Nilikuwa nazitafuta kwa ajiri ya biashara, iwe Dubai au China nawaza kuagiza. Shida Najitahidi kuzitafuta lakini sizipati spare hizi.
OK. But hizo za Singsum, boss etc LCD zake zinapatikana wapi?. Wapi wanaziuza?. Maana issue siyo brand ya sundar TV tu Bali Ni kwa General, LCD za smart TV zinauzwa wapi?Hizi brand ndogo huwa wanashare panel mkuu, cha muhimu fanya tafiti mwenyewe ama tafuta fundi mjanja mjanja fungueni panel moja iingie mtaani then linganisha na brand za kichina china kama singsung, boss, star x, blackview etc unaweza pata.
Nisaidiwe vile maweza kupata kioo cha smart TCL 32, Niko Tanga bt nategemea kutua dar December. Wapi naweza pata hii spare, na makadirio ni kiasi gani, tafadhali mkuu mkwawaWana ofisi hapa Tanzania hivyo sidhani kama zinasumbua vifaa zikiharibika, ila kuwa makini kama itakuwa ni tv ambayo hawajaileta wap wenyewe unaweza ukakosa.
Nisaidiwe vile maweza kupata kioo cha smart TCL 32, Niko Tanga bt nategemea kutua dar December. Wapi naweza pata hii spare, na makadirio ni kiasi gani, tafadhali mkuu mkwawa
Baadhi ya search result za google.OK. But hizo za Singsum, boss etc LCD zake zinapatikana wapi?. Wapi wanaziuza?. Maana issue siyo brand ya sundar TV tu Bali Ni kwa General, LCD za smart TV zinauzwa wapi?
Shukurani mkuuBaadhi ya search result za google.
https://www.facebook.com/
Hawa wanasema wapo msimbazi jengo la simba
Sema bei zinakuwa ndefu 200k mpaka 300k
TCL ni Brand ya Product , Android in Operating System. sasa hebu tueleze hizo TCL zinatumia mfumo upi(Operating System)??
Zamani walikuwa wakitumia roku na Opera/linux smart tv os. Ila model zao za sasa hivi ndio wanatumia Android tv.TCL ni Brand ya Product , Android in Operating System. sasa hebu tueleze hizo TCL zinatumia mfumo upi(Operating System)??
Chief-Mkwawa ivi tcl 32 inches unaweza play *265(hevc) 8/10bit formats?!Zamani walikuwa wakitumia roku na Opera/linux smart tv os. Ila model zao za sasa hivi ndio wanatumia Android tv.