mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuu,sioni sehemu ya tv au ndo ilo neno(ATV)???Hongera mkuu, kuna mdau kasema chomeka antenna tu kisha set kwenye tv uanze ku search channels
Ngapi umechukua mkuu?Nimefanikisha kupata tcl leo kama nilivyoitaji sasa iko king'amuzi cha ndani ya tv na napataje chanel za kibongo kama itv??View attachment 1070682
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ninayo inch 40 naona mwanangu uwa anaunganishaga na youtube pia facebook sijawahi kutake trouble kufuatilia kwa kuwa nakosaga muda. Ngoja nicheki manual yake nione ina vitu gani kati ya vilivyoongelewa humu maana mie nilinunua zile smart zao za kwanza wakati ndio wanaingia soko la TZzinakuwa kama na application (standalone) ambayo inaitwa roku inayokuwezesha ku stream channel karibu 2500
inakuwa na vitu kama WatchESPN Netflix n.k
ukitofautisha na hii yangu ina linux os ram 750mb internal storage 4gb yenyewe haina vitu vingi sana ila netflix,youtube vipo pia store ipo kwa ajili ya kudownload apps kwa mimi inanitosha
Asante mkuu,sioni sehemu ya tv au ndo ilo neno(ATV)???View attachment 1070703
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona zitakuwa hazina tofauti na hii yangu sema yanu inch 32Mie ninayo inch 40 naona mwanangu uwa anaunganishaga na youtube pia facebook sijawahi kutake trouble kufuatilia kwa kuwa nakosaga muda. Ngoja nicheki manual yake nione ina vitu gani kati ya vilivyoongelewa humu maana mie nilinunua zile smart zao za kwanza wakati ndio wanaingia soko la TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana ofisi hapa Tanzania hivyo sidhani kama zinasumbua vifaa zikiharibika, ila kuwa makini kama itakuwa ni tv ambayo hawajaileta wap wenyewe unaweza ukakosa.Wadau iv ni kweli vioo vya tcl smart tv upatikaji wake ni shida ? Kuna yule manzi anajiita jaden ukienda insta naona bei za tv zake ni mpderate
Wana ofisi hapa Tanzania hivyo sidhani kama zinasumbua vifaa zikiharibika, ila kuwa makini kama itakuwa ni tv ambayo hawajaileta wap wenyewe unaweza ukakosa.
Model mpya nyingi ni smart, unless hio samsung ina kitu special kama Hdr ama full hd ama tech yoyote ya kisasa ndio uchukue, ila kama ni hizi za kawaida za 720p bora uchukue TCL.Hivi Mkuu kuchukua TCL smart ya model ya 6500 ya Android na kuchukua samsung yeyote ya Led sio smart bora nini Mkuu TCL hiyo kwa 450,000 na Samsung 450,000.Ahsanteh
Na vipi kwa mikoani Ntapata Local channel kwa built in decoder inayopatikana kwenye hii TV mkuu? TCLModel mpya nyingi ni smart, unless hio samsung ina kitu special kama Hdr ama full hd ama tech yoyote ya kisasa ndio uchukue, ila kama ni hizi za kawaida za 720p bora uchukue TCL.
Inategemea na eneo mkuu, hio haina uhakika kila eneo na chanell zake.Na vipi kwa mikoani Ntapata Local channel kwa built in decoder inayopatikana kwenye hii TV mkuu? TCL
TCL LED32S6500S hii ina kisimbuzi cha ndani Mkuu?Inategemea na eneo mkuu, hio haina uhakika kila eneo na chanell zake.
Inayoishiwa na s details zake ni haba, ipo dukani? Kwanini usiiangalie physically?TCL LED32S6500S hii ina kisimbuzi cha ndani Mkuu?
Ni haba ina maana gani mkuu yaani sjaelewa boss.Inayoishiwa na s details zake ni haba, ipo dukani? Kwanini usiiangalie physically?
LED32S6500 ndio ina details nyingi online hii LED32S6500S sijaona ushahidi ina dvb tNi haba ina maana gani mkuu yaani sjaelewa boss.
Sawa nawezaje fanya ili niisuport iwe na local channel ukiacha hivi visimbusi.LED32S6500 ndio ina details nyingi online hii LED32S6500S sijaona ushahidi ina dvb t
Labda ununue FTA receiver na Dish.Sawa nawezaje fanya ili niisuport iwe na local channel ukiacha hivi visimbusi.
Pia kwa 450,000
Unashauri nichukue hiyo smart au nichukue LED tupu kwa 330,000 LED 32D3000.