Msaada kuhusu kuhusu Smart Tv (TCL)

Mkuu shida unajua nini? Wauzaji wanasema wana roku Tv lakin ukifka dukani sio roku

Hata amazinglifestyle wale wa sinza,wanapost insta TCL roku TV ,sasa nenda dukani kwao uone unachokutana nacho.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
vipi hao jumia,
au kama vipi ni bora utafute tuu Tv Box Kama unataka kufaidi yanayopatikana kwenye smart tv za samsung
 
TCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Unafanyaje kupata hizi channel za ndani , Nina tcl lakini sijaiona hiyo feature
 
Yaa au utafute roku stick ufunge mwenyew kweny tv yako

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ila si advice kutumia roku kwa sasa wamepiga fyagio la maana, kuna apps kibao wamezitoa hata kusideload huwezi. Labda kama unataka box la netflix na youtube tu, maana hata amazon prime kwa huku kwetu wameitoa.
 
Ukitaka kujua ukubwa wa Ram na Internal storage ktk Tcl unacheki wapi ninayo tcl smart TV inch 32

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Unazipataje hizo ITV star na wengineo. Hebu nipe mbinu mkuu?
 
Mkuu shida unajua nini? Wauzaji wanasema wana roku Tv lakin ukifka dukani sio roku

Hata amazinglifestyle wale wa sinza,wanapost insta TCL roku TV ,sasa nenda dukani kwao uone unachokutana nacho.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ao maboya ndio nimenunua TCL kwao walinifanyia hivyo hivyo. Wakaniuzia GoLive Tv ubaya nilimuagiza sista anichukulie. Ningeenda mwenyewe ningeikataa!
 
Ao maboya ndio nimenunua TCL kwao walinifanyia hivyo hivyo. Wakaniuzia GoLive Tv ubaya nilimuagiza sista anichukulie. Ningeenda mwenyewe ningeikataa!
Hahah polee sana mkuu..hawa jamaa manazi

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Unazipataje hizo ITV star na wengineo. Hebu nipe mbinu mkuu?
simple sana mkuu chomeka antena kwenye tv yako then source weka iwe TV kisa nenda setting >>channel search hapo search digital channels tuu zitakuja kama channel 67 sema zingine ni za star times zipo scrambled ila za IPP media zote zinashika na star tv pia na channel moja ivi ya didi
 
Nimefanikisha kupata tcl leo kama nilivyoitaji sasa iko king'amuzi cha ndani ya tv na napataje chanel za kibongo kama itv??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…