Sawa mkuu ,,,, ila kwa CBG course nzur ninayoiona ni vetenary medicine peke yakeSoma CBG tuu mkuu huko PCB utaenda kujichosha tuu kijana wangu
Kama unapenda fani ya afya sana nenda chuo tuu kasome hiyo kozi ya afya unayotaka
Ila ushauri wangu ni kwamba kasome CBG tuu
Daaaa ndg yangu sisi tumepitia hapo na tulikuw na mdogo kama zako,labda niingie direct kweny ushauri,ukisoma CBG n rahisi zaid kutoboa kuliko PCB na pia sio kwel kwamba utasoma pharmacy usiposom PCB,pambana na hiyo CBG Kule physics n jini LA maangamizi,achana na PCB kabsaTatizo CBG hausomei course za afya chuo kikuu.. namm lengo langu ni kuw pharmacist
Pharmacy unasoma bla physics??Daaaa ndg yangu sisi tumepitia hapo na tulikuw na mdogo kama zako,labda niingie direct kweny ushauri,ukisoma CBG n rahisi zaid kutoboa kuliko PCB na pia sio kwel kwamba utasoma pharmacy usiposom PCB,pambana na hiyo CBG Kule physics n jini LA maangamizi,achana na PCB kabsa
Hapo ukitaka phamarcy atatumia cheti cha olevrl kusoma diploma ndg,but option nzur kwak n hiyo CBGPharmacy unasoma bla physics??
Mbona unaweka matokeo nus nus?Geography nina c
Vpi kuhusu doctor of medicineKijana kama unaamini utaweza kufaulu vizuri unaweza kuhama maana ili kwenda Bpharm lazima kwanza uwe na point 8,yaani upate kuanzia one ya tatu hadi two ya kumi tu..bado competition..so inabidi ufaulu vizuri sana..UFAULU VIZURI,,Yaani labda one ya 8 kupanda juu.
Mind you,Bachelor Degree ya Pharmacy inatolewa na vyuo vinne tu bongo,so competition sio ya kitoto..na hawachukui wanafunzi wengi kihivyo.
√Muhas
√Bugando
√St.John
√ Kampala [hakijadahili hivi karibu]
Advance physics inataji moyo,la sivyo unaweza kutamani kuhamia tena CBG..
Vpi kuhusu doctor of medicine
Hapo ukitaka phamarcy atatumia cheti cha olevrl kusoma diploma ndg,but option nzur kwak n hiyo CBG
Ahsante San kwa busara Zak chifu,but mi nilisema hyo kama option kwamba asome CBG but the best ni iyo ya kutumia o level result kuliko asome PCB,nafiki hoja yako imerekebisha nilichokuwa naamaanisha chifu,your right 100% big up chifuMkuu mbona unamyumbisha dogo?Yani asome advance halafu kwa sababu anataka kusoma Pharmacy arudi kusoma diploma?
Mwambie ukweli kwamba kama anataka kusoma degree ya Pharmacy moja kwa moja asome PCB
Akisoma CBG ataishia environmental health na kozi za kilimo za SUA huko
Hakuna maana ya kusoma advance halafu urudi kusoma diploma dogo kama unajiamini kasome PCB kama uwezo mdogo nenda kasome diploma utajiendelezaga huko mbeleni
hhahahahahaha..mkuu umenikumbusha mbali sna msemo huo jamaa angu alikuwa anautumia, baada ya ticha kutoka class halfu jamaa katoka empty baada ya pindi kuisha.ni noma sanaPhysics ya advance ni jini mkata malengo kabisa
Nashukuru mkuu kwa ushauri wakoMkuu mbona unamyumbisha dogo?Yani asome advance halafu kwa sababu anataka kusoma Pharmacy arudi kusoma diploma?
Mwambie ukweli kwamba kama anataka kusoma degree ya Pharmacy moja kwa moja asome PCB
Akisoma CBG ataishia environmental health na kozi za kilimo za SUA huko
Hakuna maana ya kusoma advance halafu urudi kusoma diploma dogo kama unajiamini kasome PCB kama uwezo mdogo nenda kasome diploma utajiendelezaga huko mbeleni