Msaada kuhusu course ya clinical medicine

Tommy 911

Senior Member
Mar 5, 2019
144
225
Mm ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 ,, results phy_c bios_c and chem_c math_d ,, nilikuw naomba kujua ada za iyo course ya clinical medicine na mda wake kwa ngaz ya diploma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,039
2,000
Diploma ni miaka mitatu (3)

Kuapply kusoma, huwa wanafanya maombi online.

Lakin ukikaa kusubir kupata chuo kwenye mfumo huo wa maombi, utaishia kupata chuo cha bei ya juu sana million 3 hadi 4.

Kujisaidia fanya kufika chuo husika ambacho unakijua ada yake, ili kujiakikishia nafasi.
Utagalamika kama M.2 kwa mwaka kwa chuo cha bei ndogo.

Muhula wa masomo unaanza
Mwez wa 4 kwa vyuo baadhi.

Lakini vyuo vingi muhula wa masomo unaanza mwez wa 8


NOTE;
CHANGAMOTO NI NYINGI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

fakee hussein

Member
Aug 17, 2017
7
45
Kama huoni Aibu mkuu wangu na upo huru kabisa nenda kapige NURSING...

Sent using Jamii Forums mobile app
good advice na si kama haoni aibu...hapana.nursing kwa sasa ni marketable kuliko hata hiyo co,na ina advantage nyingi sana,kwanza unakua na uhakika wa kupata g.p.a kubwa itakayo kuwezesha ukasome bachelor baadae since it is not complicated,pili RN yaan diploma ya nursing unakua na uhakika wa kupata kazi mazingira ya mjini ambayo ni rafiki pia compared to co,unaweza pata kituo kijiji cha mbali na mji,na huduma za kijamii pia.akapige tu nursing.....kuvaa koti jeupe kusikuchanganye sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom